Diamond Platnumz amethibitisha kufanya collabo na msanii mwingine wa lebel yake ya WCB ambaye ni Raymond ikiwa imepita miezi michache toka amefanya wimbo na Harmonize.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diamond amethibitisha kuwa kuna kolabo inakuja kati yake na Raymond ambayo anadai anaipenda zaidi.
“ diamondplatnumz Click the link in @rayvanny ‘s BIO to Download his brand new Track #NATAFUTAKIKI …BTW, Ukiacha Collabo nlizofanya nje….. nafkiri Ngoma nilomshirikisha @rayvanny ndio inatawala sana kwenye Speaker za Gari yangu! “
0 Comments