Picha,Gari mpya ya Fetty Wap,kaaza kuwa chizi magari. huu

Hii ni gari ya rap Fetty Wap ambayo anajisifia ina horse power 800 na ni gari BMW M6 ya mwaka 2016 BMW M6.
Fetty wap anasema kainunu gari hii dola laki moja na elfu stini. Fetty pia ameongeza nguvu kwenye gari hii ambayo ukinunua inakuwa na horse power 560.


Post a Comment

0 Comments