Video inamuonyesha Justin Bieber akishikwa baadaya kupigana nje ya hoteli.

Canadian pop staa Justin Bieber amepigana na mtu nje ya hoteli yake huko Cleveland. Haijajulikana alikuwa anapigana na nani na kwanini ila baadae alipost picha akisema hakuna mkwaruzo kwenye mwili huu.
Bieber alikuwepo Cleveland kwaajili ya Game 3 ya 2016 NBA Finals kati ya Cleveland Cavaliers na Golden State Warriors.

Post a Comment

0 Comments