Jose Chameleone amefunguka kwanini hajafanya kolabo na Diamond mpaka leo,fahamu hapa..

Msanii wa mkongwe wa muziki nchini Uganda Jose Chameleone amefunguka na kusema kuwa hana tatizo lolote linalomfanya asifanye kolabo na msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania,Diamond kama watu watu wengi wanavyodhani kuwa wana bifu.
Akiongea na mtangazaji wa Kenya,William Tuva wa kipindi cha Mseto,Chameleone amesema kuwa kupishana kwa ratiba yake na Diamond na kila mmoja kuwa busy ndicho kitu hasa kinachofanya kusiwepo na kolabo ya wawili hao
The problem is,he is busy and I am busy lakini tumwombe Mungu tukipata wakati,it is a very simple thing” alisema Chameleone.

Post a Comment

1 Comments