Hili ndilo kubaliano la diamondplutnumz na Saida Karoli baada ya kuachia salome

Diamond Platnumz ambaye jana aliachia wimbo wake mpya ambao unaitwa Salome akiwa amemshirikisha Rayvanny amefunguka kuhusu Kama aliongea na Uongozi wa Saida Karoli kuhusiana na kutumia Melody na Sample ya Beat ya wimbo wa "Saida Karoli"  uliokuwa ukijulikana kama Maria Salome
Akiongea kupitia XXL Mond amesema aliongea na uongozi wa Saida Karoli kabla ya Kuachia wimbo Huo, na kuna asilimia kadhaa atalipia kulingana na makubaliano kati yake na Uongozi huo wa Saida Karoli.

Post a Comment

0 Comments