Bila huyu msanii kwenye tuzo za Grammy,Kanye West hato hudhuria…


Rapa na mbunifu maarufu wa mavazi na viatu Kanye West ametishia kutohudhuria tuzo za Grammy mwaka huu kama msanii Frank Ocean hatawekwa kwenye tuzo hizo.
Kanye alisema hayo maneno Jumamosi hii alipokuwa akitumbuiza kwenye tamasha la ‘Saint Pablo Tour’ lililofanyika Oakland, California.

Maneno ya Kanye West yalikuwa hivi “ The album I listened to the most this year is Frank Ocean’s album, I’ll tell you this right now, If his album’s not nominated in no categories, I’m not showin’ up to the Grammys,” .

Post a Comment

0 Comments