Siku chache baada ya Clouds Fm Kumrejesha PJ kutoka EFM, EFM nao wamchukua mtangazaji huyu kutoka Clouds Fm



EFM Kama kauli mbiu ya Redio yao kuwa Huu mchezo Hauhitaji hasira ndivyo wanavyothibitisha mara baada ya kumchukua mtangazaji wa Clouds Fm Twalib Omary ambaye alikuwa kwenye kipindi cha michezo cha SPORTS EXTRA.
Siku kadhaa zilizopita Clouds walimrejesha Paul James PJ Ambaye naye alichukuliwa na EFM, lakini kabla ya hapo walimchukua Kicheko tokea EFM, Sasa EFM nao wamejibu mapigo kwa kumchukua Twalib Om nuary anayeungana kwenye kipindi cha Sports Head Quarters

Post a Comment

0 Comments