Kama ilivyokawaida ya katepahot kila tupatapo habari mpya hatusiti kukuweka nayo karibu ili usikae nyuma, Sasa kuna tafiti imebaini kuwa uvutaji wa Bangi kunasaidia macho kuweza kuona vizuri nyakati za usiku (Wakati wa Mwanga hafifu)
Watafti kutoka Marekani na Canada wamefanya tafiti hii katika nchi kama Jamaica na Morocco na kubaini juu ya Hili ambapo Wapanda Milima wa Usiku na Wavuvi walithibitisha Juu ya Hili, kuwa kunatofauti walipokuwa wakifanya kazi zao kabla na baada ya kuanza kutumia Bangi.
Mtandao wa Daily Mail umeandika kuhusu Utafiti huu, na kusema kuwa mtu anapovuta bangi basi bangi hiyo ina boost cells ambazo zinasafirisha mwanga kutoka kwenye macho kwenda kwenye Ubongo.
Endelea kukaa karibu na katepahot.blogspot.com Ili uzidi kuwa unapata infos za Kijanja na uhabarike nawe uwahabarishe wenzako.
0 Comments