Hutoa amini hiki ndio kiasi cha pesa alicholipa Desiigner ili kununua biti ya ‘Panda’.

Rapa kutoka Marekani Desiinger aliyefanya maajabu kupitia rekodi yake ya “Panda” amesema alinunua biti au mdundo wa wimbo huo kwa kiasi cha dola $200 ambayo ni kama laki nne na nusu ya kibongo.
Desiinger anasema “ Nilikuwa na washkaji zangu tuna vuta bangi tu ngani ya nyumba huku tukicheza GTA [Grand Theft Auto] mshkaji wangu akapiga wimbo kutoka kwenye computer na kuniuliza kama naweza andika kitu kwenye mdundo huo,biti hio ilikuwa Youtube tu na baada ya siku mbili nikautoa wimbo huo“.

Post a Comment

0 Comments