Tarajia hii collabo ya Vanessa Mdee na msanii kutoka Nigeria

Baada ya kufanya collabo na KO waSouth Africa, kituo cha Mtv Basekimeripoti collabo nyingine ya mremboVanessa Mdee  na hit maker wa mdundo wa My Woman Patoranking, mdundo ambao utatayarishwa na producer Dj Maphorisa, Mtu wangu usisahau kuniachia commentya ujio wa hii collabo hapa chini na wakali hawa wataziona hapa.



Post a Comment

0 Comments