Diamond Platnumz kaongelea picha ya Hamisa aliyopiga kwenye chumba alikuwa na Zari Afrika Kusini….


Kusamba kwa picha na taarifa zisizo rasmi kuwa mwanamitindo Hamisa Mobetto na Diamond walikuwa pamoja kwenye chumba flani nchini Afrika Kusini, Diamond ametolea maelezo skendo hii kwenye kipindi cha radio cha Leo Tena ya Clouds Fm…
Diamond alisema >Nukuu kutoka Radioni< “ Hamisa nimeanza kumjua zamani sana na sina uhusiano wa kimapenzi na yeye, juzi kati alikuwa kwenye video yangu mpya nimefanya na Ray Vanny na hiyo ndo imeleta maneno maneno yote hayo.”
Kuhusu Picha jee >Nukuu kutoka Radioni< “ Pale ni South Africa sehemu ile inaitwa Capital ni apartment ambazo vyumba vyake vyote vinafanana kama unavyoona hata Madam Rita pia ana share katika hizo apartment naye anayo yake na pia wabongo wengi tunapenda kufikia hapo kidogo huwa ni rahisi

Post a Comment

0 Comments