Picha,Paul Pogba akiwa amevalia jezi namba 6 ya Manchester United.

Baada ya kusajiliwa na klabu ya Manchester United kutoka Juventus ya Italia kwa ada iliyoweka rekodi mpya ya pound milioni 89, Paul Pogba amepewa jezi namba 6 mgongoni ambayo pia alikuwa akivaa namba hio alipokuwa Juventus kabla ya kupewa jezi namba 10.
Hizi ni picha zake kutoka Man United.




Post a Comment

0 Comments