TANZIA: Bondia Thomas Mashari ameuawa

TANZIA: Bondia kimataifa wa masumbwi tanzania Thomas Mashari ameuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo October 31, kwa taarifa zaidi ungana na katepahot ifikapo saa nne kamili asubuhi hii kwa habari kamili.



Post a Comment

0 Comments