Hii ndio orodha ya mastaa wenye pesa mwaka huu wa 2015 & 2016 !!

Forbes Magazine jarida la Marekani limeachia
orodha ya wasanii 100 wenye pesa zaidi kwa
mwaka huu wa 2015, na kwenye orodha hiyo
utakutana na watu kama Katy Perry,
Beyonce, Kim Kadarshian, Floyd Mayweather,
Manny Pacquiao, Taylor Swift na wengine
kibao so unaweza ukavuta picha nani
kampiku nani kwenye uwezo wa kifedha
mwaka huu.
Staa anayeshika kijiti kwenye orodha ya
mwaka huu ni Floyd “Money” Mayweather
akiwa na thamani ya millioni $300 , Manny
Pacquiao kwenye nafasi ya pili akiwa na
thamani ya $160 million, Katy Perry akishika
nafasi ya 3 akiwa na thamani ya millioni
$130. Na hiyo ni baadhi  ya magari ya kifahari anayo miliki  Mayweather 

Post a Comment

0 Comments