Moja ya stori kubwa Tanzania leo May 20
2016 ni pamoja na hii ya maamuzi ya Rais
John Pombe Magufuli kutengua uteuzi
wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Charles Kitwanga.
Taarifa iliyonifikia ni kwamba Rais Magufuli
amemfuta Waziri Kitwanga kutokana
na kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati
akiwa amelewa.
Hii ndio ikimuonyesha Waziri Kitwanga
akijibu maswali hayo Bungeni leo….
0 Comments