Maneno ya Wema Sepetu kuhusu tuzo ya BET anayowania Diamond Platnumz


Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz ,
Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Watanzania wengine wanaomsupport mwimbaji huyo ambaye ni Mtanzania pekee anaewania tuzo ya kituo cha TV cha Marekani BET .
Wema Sepetu amepost kwenye page yake ya Instagram na kusahau yaliyopita na kusisitiza uzalendo kwanza >>> ‘Uzalendo ndio unaotakiwa, Tanzania kwanza vingine baadae ama nene? vote vote vote’

Post a Comment

0 Comments