Bingwa wa masumbwi duniani afariki dunia

Bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani mmarekani mwana masumbwi Mohammed Ali amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospital ya phoenix ambapo alipelekwa juzi.alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa parkinson.Mohammed Ali amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.


Post a Comment

0 Comments