Hizi hapa sifa alizotoa diamond kwa zari

NAMI
HOME CONTACT
Dramaa,Picha za mahaba kitandani za Usain Bolt na binti wa miaka 20 Rio za sambaa,mpenzi wa Bolt kasemaje?….
← Previous Story
Picha na Trailer ya filamu ya maisha ya bondia Sugur Ray ‘Hands of Stone’ kaigiza Usher Raymond
Next Story →
YOU MAY ALSO LIKE...
Picha,Mambo shwari kati ya Diamond na Zari, post ya WCW ya Diamond iko hapa.
Picha,Ujauzito wa Zari sasa unaonekana,Diamond Platnumz aomba ushauri wa jina la mtoto wake wa kiume.
Diamond Platnumz alirekodi nenda kamwambie kwa shingo upande,Hakutaka itoke bila Barnaba.
COMMENTS
ENTERTAINMENT
Diamond Platnumz kazimwaga sifa hizi zingine za kuwa na ZARI.
By Reporter | August 22, 2016
SHARE TWEET SHARE SHARE
0 COMMENTS
SHARE TWEET SHARE SHARE
0 COMMENTS
RELATED ITEMS DIAMOND PLATNUMZ
Diamond Platnumz amemwaga sifa kwa baby mama wake Zari The Boss Lady ikiwa ni muda mzuri wa kufanya hivyo baada ya tetesi kusamba zaidi kuwa mambo sio shwari kati yao.
Diamond ameongelea jambo la kuanzisha familia pamoja, watoto, pesa na mapenzi kwenye hii post mpya.
Diamond ameandika maneno haya “ Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike, Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa??????????????????…Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio???????? ???????????????????? Mi nampenda huyu dada Mwe???????? @zarithebosslady ”

Post a Comment

0 Comments