Orodha ya Forbes ya waigizaji wa kiume waliolipwa zaidi mwaka 2016.

Mtandao wa Forbes umetoa majina ya waigizaji waliolipwa zaidi mwaka 2016 Hollywood, The Rock ameongoza orodha hii akifuatiwa na Jackie Chan.
The Rock alikuwa namba 11 mwaka jana ila baada ya filamu ka Fast & Furious na
San Andreas na kipindi cha tv cha Ballers amekuwa namba moja.
1. Dwayne Johnson — $64,500,00

2. Jackie Chan — $61,000,000
3. Matt Damon — $55,000,000
4. Tom Cruise — $53,000,000

5. Johnny Depp — $48,000,000

6. Ben Affleck — $43,000,000
7. Vin Diesel — $35,000,000
8. Shah Rukh Khan — $33,000,000
9. Robert Downey Jr. — $33,000,000

10. Akshay Kumar — $31,500,000

Post a Comment

0 Comments