Leo ni siku ya mnyama "Kifaru" Duniani fahamu jambo la kushangaza kuhusu Kifaru,licha ya kuwa na umbo kubwa

Leo ikiwa ni tarehe 22.9.2016 ni siku ya mnyama Kifaru Duniani, Mnyama ambaye ni moja kati ya vivutio vikubwa vya watalii wengi wawapo mbugani, ila naomba kukujuza kuwa Licha ya Umbo kubwa la Kifaru ila kifaru huwa ana  "Ubongo Mdogo"  sana  ila haimaanishi kuwa hana akili kabisa. Ichukue hiyo kutoka katepahot.blogspot.com

Post a Comment

0 Comments