Picha,Diamond Platnumz ausifia tena muonekano wa Zari akiwa mjamzito…..

Trending in Bongo leo ni pamoja na picha mpya ya Zari ambayo Diamond Platnumz
ameitumia kusifia muonekano wake akiwa na ujauzito.
Iki ni miongoni mwa couple zinazofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki Diamond aliweka ujumbe huu kwenye picha Hii… “Pregnant women are always sexy!… Damn! Kama ntokee hapo???????????? @ZaritheBossLady


Post a Comment

0 Comments