Diamond Platnumz na Wasanii wa WCB wamtembelea Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.

Kutoka mitandaoni leo #Stori ya msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz na Wasanii wa WCB wamtembelea nyumbani kwake Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete.
Diamond aliambatana na wasanii Rich Mavoko, Harmonize, Rayvanny, Q Boy Msafi na meneja wao Salam.








Post a Comment

0 Comments