Picha,Mtoto wa Will Smith ‘Jaden Smith’ amuweka wazi mpenzi wake.

Mtoto wa mwigizaji Will Smith ‘ Jaden Smith’ anaongelewa zaidi kwenye mitandao kwa mavazi yake ya ajabu na sasa ataongelewa zaidi baada ya kumuweka wazi baby wake ambaye ni mwanamitindo Sarah Snyder.
Hizi ni picha za model huyu Sarah Snyder akiwa na Jaden 





Post a Comment

0 Comments