Jibu la rayvany kuhusu kutokumweka hadharani mpenzi wake

Msanii anayefanya vizuri kwasasa kwenye tasnia ya muziki wa Tanzania Raymond aka Rayvanny alijikuta akiulizwa swali kupitia kipindi cha JAHAZI cha clouds Fm kuhusiana na Kutoonekana akipost Picha ya mpenzi wake .
Raymond alijibu kwa kifupi sana kwakusema " Hivi vitu vinakujaga Automatically, Ukipenda huwezi kujificha watu watajua, so for me watu watajua"

Post a Comment

0 Comments