Uchawi; Mzee Ntalasha maarufu kwa utengenezaji wa radi

Mzee Kasiano Ntalasha (80), mkazi wa Kijiji cha Chipu, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, aliyejijengea umaarufu mkubwa kutokana na
ufundi wake wa kutengeneza radi, amefariki dunia. Inaelezwa kuwa Mganga huyo ya kienyeji
kutokana na ujuzi wake huo wa kutengeneza radi alikuwa na wateja kutoka kila pembe ya nchi.

Post a Comment

0 Comments