AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego 'Pale Kati'

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI.
Akizungumza na katepahot.com Katibu mkuu wa Basata, Godfrey Mngerezaalisema..’Ni kweli tumeufungia wimbo wa msanii Nay wa Mitego  kwasababu haupo kimaadili katika jamii ya kitanzania ukizungumzia maneno yenye ambayo mwimbaji ameyatumia sio mazuri kimaadili’- Godfrey Mngereza

Post a Comment

0 Comments