Hali bado ni tete Sudan Kusini

Hali bado ni tete katika mji mkuu wa Sudan Kusini baada ya wanajeshi watiifu kwa makamu wa rais Riek Machar kudai kambi yao imeshambuliwa usiku wa kuamkia leo kwa risasi na bunduki nzito nzito.

Post a Comment

0 Comments