Picha,Wachezaji wa Brazil wawili wenye tattoo zinazofanana kabisa, Neymar na Gabriel Jesus.

Wachezaji wa timu ya taifa ya Brazil inayoshiriki kwenye michuano ya Olympics Neymar na Gabriel Jesus wamechora tattoo zinazofanana.
Neymar alionyesha tattoo hii December mwaka jana inayoonyesha kijana mdogo akiangalia mjii mkubwa ambao umetajwa kuwa ni mji wa Mogi das Cruzes,ambapo alizaliwa na kuanza kucheza soka huko.
Sasa mchezaji mwenzake wa Brazil Jesus amekopi tattoo hio hio


Post a Comment

0 Comments