Ali Kiba kusaini mkataba na Sony Music Basata wampongeza kwa haya mambo manne.

BASATA wamedai kuwa siku zote ukifanya
sanaa ambayo ina staha inalipa zaidi na
kudai kuwa nidhamu na maadili pia
yanachangia katika mafanikio
“Tunampongeza Msanii Ali Kiba kwa
kusaini mkataba na Kampuni ya Kimataifa
ya Sony Music. Nidhamu, maadili & Sanaa
ya staha hulipa” waliandika BASATA

Post a Comment

0 Comments