Marehemu Wilson Kabwe.
Familia ya Marehemu Wilson Kabwe
imesikitishwa na taarifa zilizosambazwa
kwenye vyombo vya habari na mitandao ya
kijamii kuhusu kauli na msimamo wa familia
kuwa hawataihusisha serikali katika msiba
huo, wasema aliyetoa taarifa hiyo siyo
msemaji wa familia. Isome taarifa yao
waliyotoa kwa vyombo vya habari hapa chini kwenye hii barua
0 Comments