Blac Chyna mwenye ujauzito apiga picha MTUPU kwaajili ya jarida la ‘Paper’ kama Kim Kardashian

    
Familia ya Kardashian imemuambukiza wifi yao mpya tabia ya kupiga picha akiwa mtupu, ni Blac Chyna ambaye anategemea kupata mtoto wake wa pili na wakwanza akiwa na Rob Kardashian.
Blac Chyna amepiga picha hizo akiwa MTUPU kwaajili ya jarida la ‘Paper’ kama alivyowahi kufanya Kim Kardashian.
Ila hajavumja Internet kama KIM K lakini baby mama huyu wa Rob Kardashian amekuwa miongoni mwa wamama wazuri kwenye gazeti la Paper katika Beautiful People Class of 2016.








Post a Comment

0 Comments