Diamond Platnumz ameenda kufanya video yake na Ne-Yo ?Hiki ndicho alichosema..

Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa yuko njiani kwenda ku shoot video ya wimbo wake aliofanya na staa wa R&B,Ne-Yo.
Akimjibu shabiki aliyemdiss kwamba anamuiga Ne-Yo,Diamond aliandika,“ Not only copying him, and now in the flight heading to Los Angeles to shoot my new Video Ft. Him
Shabiki huyo alimdiss Diamond kwenye instagram kwa kuandika ““You are good and talented in your own way n I love you n ur songs but u should stop copying @neyo… Be ueself boy @diamondplatnumz .” ambapo baada ya kujibiwa comment yake na Diamond alionyesha kufurahia na kuandika tena “ @diamondplatnumz n the rest.. Safe flight n am glad you read my comment n that’s my stand.. Haha be blessed.. I ain’t shaken boo. ”

Post a Comment

0 Comments