Jibu la fid q kuhusu kuvaa koti lililoisha kwenye video mpya

Baada ya kutoa video yake mpya inayokwenda kwa jina la Roho ,msanii wa Hip Hop Fid Q amejikuta akizungumziwa zaidi na watu baada ya kuonekana kuwa amevaa koti lilichokaa upande mmoja wa bega kwenye video hiyo.
Alipoulizwa kwanini aliamua kuvaa koti lilichakaa kwenye video yake hiyo,Fid amedai kuwa sio kwamba ana uwezo wa kupata koti kali lakini ameamua kuleta fashion mpya ambapo hapo baadaye anaweza akatengeza makoti yake kupitia fashion hiyo.
“ KuhusuBaada ya kutoa video yake mpya inayokwenda kwa jina la Roho ,msanii wa Hip Hop Fid Q amejikuta akizungumziwa zaidi na watu baada ya kuonekana kuwa amevaa koti lilichokaa upande mmoja wa bega kwenye video hiyo.
Alipoulizwa kwanini aliamua kuvaa koti lilichakaa kwenye video yake hiyo,Fid amedai kuwa sio kwamba ana uwezo wa kupata koti kali lakini ameamua kuleta fashion mpya ambapo hapo baadaye anaweza akatengeza makoti yake kupitia fashion hiyo.
“ Kuhusu lile koti,ile ni fashion ambayo mimi nimeamua kuifanya iwe trend,unajua watanzania walitaka Kanye West aanze ili mimi nikifatia ionekane kawaida lakini wameshau mimi hufikiria kama au sometimes zaidi ya hao kina Kanye West.Kama ningetaka koti zuri zaidi ya lile ningeweza ku afford kununua,wajue ile ni fasheniu na nimependa wanavyoiongelea kwa sababu nafikiria kutoa makoti yangu ambayo bega moja limeharibika halafu nikaweka nembo yangu
” alifunguka Fid Q. lile koti,ile ni fashion ambayo mimi nimeamua kuifanya iwe trend,unajua watanzania walitaka Kanye West aanze ili mimi nikifatia ionekane kawaida lakini wameshau mimi hufikiria kama au sometimes zaidi ya hao kina Kanye West.Kama ningetaka koti zuri zaidi ya lile ningeweza ku afford kununua,wajue ile ni fasheniu na nimependa wanavyoiongelea kwa sababu nafikiria kutoa makoti yangu ambayo bega moja limeharibika halafu nikaweka nembo yangu ” alifunguka Fid Q.



Post a Comment

0 Comments