Jibu la harmonize kuhusu kuacha mapenzi ya hadharani na wolper

Harmonize na Jackline Wolper ni moja kati ya couples iliyoanza kwa mbwembwe nyingi na ku kiki kwenye vyombo vingi vya habari,lakini kwa sasa couple hiyo imeoneka kupoa tofauti na mwanzoni.
Alipoulizwa kwenye kupindi cha Enewz cha Eatv kama kuna tatizo,Harmonize amedai hakuna tatizo kati yake na Wolper bali upya wa penzi ulikuwa ukiwasumbua na pia kwa sasa wameshakuwa watu wazima kwa hiyo hawana haja ya kujianiaka kila siku.
Siku zinavyokwenda binadamu anapata mawazo mapya na umri unazidi kusogea,pia kuna kitu kinaitwa upya,inawezekana upya ulikuwa unatusumbua,shamra shamra watu wajue kwamba tunapendana lakini sasa hivi imeshazoeleka kwamba Harmonize na Wolper wako hivi“,Alieleza Harmonize.

Post a Comment

0 Comments