Baada ya Cesc Fabregas kuwaokoa chelsea kwa bao alikuwa na haya ya kuongea

Mchezaji Cesc Fabregas ambaye Toka kocha Conte ametua Chelsea amekuwa siyo chaguo la kwanza wa kocha huyo anayeonekana kumpa nafasi zaidi Oscar.
Sasa jana baada ya Cesc Fabregas kuwaokoa Chelsea kwa kutupia bao 2 katika ushindi wa bao nne (4) katika muda wa nyongeza baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2 kwa 2 dhidi ya Leicester City.
amesema " Nimekuwa na Furaha sana kuanza katika kikosi cha kwanza,nafikiri itawanyamazisha waandishi wa habari waliokuwa wanaandika Upuuzi"
Usisite kutembelea www.katepahot.blogspot.com (Tunakupa Unachokihitaji)

Post a Comment

0 Comments