Fahamu Urefu wa Uume wa nyangumi,unajua kuwa bao lake moja ni sawa na lita 20? soma zaidi hapa

Urefu wa Nyangumi mkubwa ni sawa na mita 30, sawa na sentimita 3000, Unakumbuka zile Rula enzi za shule ya msingi na Sekondary? unazipanga Rula 100  zenye Urefu wa sentimita 30 kupata Urefu wa Nyangumi mmoja.
Tofauti na Kiumbe kama Binadamu Nyangumi huwa hapumui kwa kutumia mdomo sababu mdomo wake huwa umeunganika moja kwa moja na Tumbo.
Urefu wa Mashine (Kirungu ) ya Nyangumi inacheza kati ya Centimeter 240 mpaka centimeter 300 na inaaminika kuwa Kirungu cha Nyangumi ndicho Kirefu kuliko virungu vya Viumbe hai vingine vyote, na Bao la nyangumi ni litre 17 mpaka 22
Mpaka leo Rekodi ya Nyangumi mkubwa alipataikana akiwa na Urefu wa Mita 30.5 na uzito wa Tani 144, sawa na Kilogram 144,000 sawa na Wanaume 2000 wenye afya zao nzuri za Kilo 72. mambo kama haya usiwe unasita kupitia www.katepahot.blogspot.com
Licha ya Ukubwa na Uzito ila Nyangumi mwenye mwendokasi zaidi anauwezo wa Kwenda mwendo wa Kilomita 32 kwa saa.

Post a Comment

0 Comments