Hii ndio rekodi iliyovunjwa na salome wa diamondplutnumz Africa

Muziki wa Tanzania unazidi kwenda unakotakiwa kwenda na Huenda ukazidi kusonga mbali zaidi, Basi Kwa taarifa Tu ni kwamba video ya Diamond Platnumz feat Rayvanny "SALOME"
Imeweka rekodi afrika kwakuwa video iliyotazamwa zaidi Katika mtandao wa videos wa Youtube kwa kuwa video iliyoangaliwa zaidi ndani ya siku mbili, Salome imeangaliwa na watu milioni 1 ndani ya siku mbili.

Post a Comment

0 Comments