Hivi karibuni Diamond Platnumz na dancer wake wawili , walikuwepo kwneye show kubwa mjini New York ya wasanii kutoka Afrika #OneAfricaMusicFest na huko Diamond pamoja na crew yake walikutana na Swizz Beats ambaye ni producer mkubwa nchini Marekani na ni mume wa Alicia Keys.
Hii ni picha ya Mose na Swizz Beats, Pamoja na video ya Swizz beats akiwa na Diamond na Bab Tale.



0 Comments