Baada ya kusingiziwa kutishia mtu na silaha ya moto ‘Bunduki’ Dr Dre na mawakili wake wamefanikiwa kuhakikisha kesi hii imekwisha kabla hata haijaanza.
Jumatatu hii Dr. Dre alifungwa pingu nje ya nyumba yake huko Malibu baada ya mtu mmoja aliyekuwa akiendesha pikipiki kudai Dre alimtishia bunduki wakiwa barabarani.
Mwanasheria wa serikali amekata kufungua mashtaka dhidi ya Dr Dre baada ya kusikiliza pande zote mbili.


0 Comments